BANDO MC FT MICHU – KESHO NI YA MUNGU VISUALIZER (Kariakoo)

Wimbo huu ni maalumu kwa ajiri ya majanga yaliyolikumba taifa kwa mwaka 2024 hali ya machafuko. ,UTekaji nyara wa raia ,maafa yaliyotokea kariakoo ,ulawiti na ubakaji wawatoto “ nchi kama imepata ganzi eeeh MUNGU IBARIKI TANZANIA🇹🇿

Comment ×

O seu endereço de e-mail não será publicado. Campos obrigatórios são marcados com *