Bonge La Toto – Kidis Ft Sha Biggy…( Official Music Video )
#Kidis #KingOfVocals #BongeLaToto
Kidis & Sha Biggy Perfoming “Bonge La Toto”..
#KapuPianoStyle
Produced By Noizer..
Director Kenah…
Follow Kidis On –
Facebook: https://www.facebook.com/kidisthejembengenjemtaa
Fakebook Page :https://www.facebook.com/Simbiga
Twitter:https://twitter.com/KidisSimbiga
Instagram: https://www.instagram.com/official_kidisthejembe/
Tiktok : https://www.tiktok.com/@kidisofficial?lang=en
For Bookings : +254 712400630/ Nesphorysimbiga@gmail.com
(LYRICS )
Intro..
Mmmmmh Aaah…Mmmmmh Aaah…
Mmmmmh Aaah…Mmmmmh Aaah..
Verse 1
Hadithi Hadithi Njoo Utam Kolea utam Koleaaa..
Ninavyo Hisi Ooh Nimenogewa nimenogewaa..
Hadithi Hadithi Njoo Utam Kolea utam Koleaaa..
Ninavyo Hisi Ooh Nimenogewa nimenogewaa..
Mi Nataka Nikubebe Weweeee…Aaaaaheeeee..
Mi Nataka Nikupeleke Weeeeeeh Aaaaaheeee…
( Bridge)
Nakupenda Mwanangu Usinipe Mavunga Nipe mapenzi Twenzetu Teketekeee..
Nakupenda Mwanangu Usinipe Mavunga Nipe mapenzi Twenzetu Teketekeee..Uuuuuuuaaaaaah..
( Chorus )
Aaaaah Niko Na Moto Motooo…Aaaaah Niko Na Bonge La Toto…
Aaaaah Niko Na Moto Motooo…Aaaaah Niko Na Bonge La Toto…
( Verse 2 )
Nataka Nikupendee, Chukuaa… Nikuvishe Petee,, Amuuaaa…Moyo Wangu
Nikupee… Abidaduuduhdaaadah..
Niko Na Toto Totooo,,Anawaka Moto Nimgande Kaa Kiroboto..
Nilipo Yupoo…
Sa Ukinipa Sugar Nachukua,,Mapozi Ya Katikati Nayajuaa..
Mwenzako Mahututi Nauguaa..Woiwoi Wooh..
Unanishika Huku Unanipeleka Huku Moyo Uko Mkukuu..Haya Weeh..
Vile Uko Msupuu Mtamu Kama Kuku Nakusoma Kaa Buku..Mama Weh..
(Chorus)
Aaaaah Niko Na Moto Motooo…Aaaaah Niko Na Bonge La Toto…
Aaaaah Niko Na Moto Motooo…Aaaaah Niko Na Bonge La Toto…
(Bridge)
Mmmmmh Aaah…Mmmmmh Aaah…
Mmmmmh Aaah…Mmmmmh Aaah..
Nakupenda Mwanangu Usinipe Mavunga Nipe mapenzi Twenzetu Teketekeee..
Nakupenda Mwanangu Usinipe Mavunga Nipe mapenzi Twenzetu Teketekeee..
(Outro)
Ebwanaeeeh Hii Hapaa, Hii Hapaa..Nawaona Nawaona Vijana..
Ebwana Tupo Tupo, Tupo Kama Hatupo Mziki Umejaa Vibweka Na vituko..
Mkono Theeele…
Comment ×